Matarajio na Ndoto Zangu

Ota ndoto kubwa. Tafakari kwa hekima. Nakili kile ungetaka kuafikia pamoja na kile unachohitaji kufanya (mikakati) ili ufikie malengo yako ya baadaye.